Ufafanuzi wa ahueni katika Kiswahili

ahueni

nominoPlural ahueni

 • 1

  nafuu aipatayo mgonjwa baada ya kuugua; kupata hujambo.

  ‘Ali amepata ahueni baada ya kutibiwa’
  afadhali, nafuu

 • 2

  nafuu aipatayo mtu baada ya matatizo.

  afadhali

Asili

Kar

Matamshi

ahueni

/ahuwɛni/