Ufafanuzi wa aina katika Kiswahili

aina

nomino

  • 1

    namna kitu kilivyo.

    namna, nui, sampuli, jinsi

Asili

Kar

Matamshi

aina

/ajina/