Ufafanuzi wa ainisha katika Kiswahili

ainisha

kitenzi elekezi

  • 1

    panga katika aina mbalimbali.

Asili

Kar

Matamshi

ainisha

/ajiniāˆ«a/