Ufafanuzi wa ajabia katika Kiswahili

ajabia

kitenzi elekezi

  • 1

    pata mshtuko wa mawazo kwa kuona au kusikia jambo lisilo la kawaida au ambalo halikutarajiwa.

    staajabu, shangaa, pumbaa, bahashika, tunduwaa, vuvuwaa

Asili

Kar

Matamshi

ajabia

/aŹ„abija/