Ufafanuzi msingi wa ajabu katika Kiswahili

: ajabu1ajabu2

ajabu1

nominoPlural majabu

  • 1

    jambo la kushangaza lisilo la kawaida.

    shani, kioja, kituko, muujiza, dungudungu, hekaya

Asili

Kar

Matamshi

ajabu

/aʄabu/

Ufafanuzi msingi wa ajabu katika Kiswahili

: ajabu1ajabu2

ajabu2

kivumishi

  • 1

    (jambo) lililopita kiasi.

    ‘Mvua kubwa ajabu’

Asili

Kar

Matamshi

ajabu

/aʄabu/