Ufafanuzi wa ajemi katika Kiswahili

ajemi

nomino

  • 1

    mkate unaofanana na chapati.

    ‘Mkate wa ajemi’
    ‘Kaninunulie ajemi’

Asili

Kar

Matamshi

ajemi

/aʄɛmi/