Ufafanuzi wa ajenti katika Kiswahili

ajenti

nominoPlural majenti

  • 1

    mwakilishi wa kampuni au shirika fulani.

    wakala

Asili

Kng

Matamshi

ajenti

/aʄɛnti/