Ufafanuzi wa ajinabia katika Kiswahili

ajinabia

kivumishi

  • 1

    -a kigeni.

    ‘Mavazi ajinabia ni haya’
    -geni

Asili

Kar

Matamshi

ajinabia

/aʄinabija/