Ufafanuzi wa ajiri katika Kiswahili

ajiri

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa mtu kazi kwa ujira au mshahara.

Asili

Kar

Matamshi

ajiri

/aʄiri/