Ufafanuzi msingi wa ajwadi katika Kiswahili

: ajwadi1ajwadi2

ajwadi1

kivumishi

kishairi
 • 1

  kishairi karimu sana.

Asili

Kar

Matamshi

ajwadi

/aʄwadi/

Ufafanuzi msingi wa ajwadi katika Kiswahili

: ajwadi1ajwadi2

ajwadi2

kivumishi

kishairi
 • 1

  kishairi mashuhuri sana.

 • 2

  kishairi bora zaidi.

  adhimu

Asili

Kar

Matamshi

ajwadi

/aʄwadi/