Ufafanuzi msingi wa akania katika Kiswahili

: akania1akania2

akania1

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    ongoza farasi kwa hatamu.

Asili

Kar

Matamshi

akania

/akanija/

Ufafanuzi msingi wa akania katika Kiswahili

: akania1akania2

akania2

nominoPlural akania

  • 1

    hatamu ya farasi.

Asili

Kar

Matamshi

akania

/akanija/