Ufafanuzi wa akida katika Kiswahili

akida

nominoPlural makida

kizamani
  • 1

    kizamani mkubwa wa jeshi.

  • 2

    kizamani msaidizi rasmi wa mkuu wa wilaya katika zama za ukoloni.

Asili

Kar

Matamshi

akida

/akida/