Ufafanuzi wa akifia katika Kiswahili

akifia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    toa mali kwa manufaa ya wanaohusika.

Asili

Kar

Matamshi

akifia

/akifija/