Ufafanuzi msingi wa akika katika Kiswahili

: akika1akika2

akika1

nominoPlural akika

Kidini
  • 1

    Kidini
    sherehe anayofanyiwa mtoto anapofikia umri wa siku saba au zaidi ambapo mbuzi huchinjwa na mifupa yake hufukiwa mizima.

Asili

Kar

Matamshi

akika

/akika/

Ufafanuzi msingi wa akika katika Kiswahili

: akika1akika2

akika2

nominoPlural akika

Kidini
  • 1

    Kidini
    mbuzi au kondoo anayechinjwa katika sherehe ya kukata nywele za mtoto mchanga.

Asili

Kar

Matamshi

akika

/akika/