Main definitions of akiki in Swahili

: akiki1akiki2akiki3

akiki1

noun

Religion
 • 1

  dua inayosomwa wakati wa kumzika mtoto ambaye hakufanyiwa akika.

  ‘Kusoma akiki’

Origin

Kar

Pronunciation

akiki

/akiki/

Main definitions of akiki in Swahili

: akiki1akiki2akiki3

akiki2

noun

 • 1

  kito chekundu kinachotiwa kwenye pete; kipambo cha kidani.

Origin

Kar

Pronunciation

akiki

/akiki/

Main definitions of akiki in Swahili

: akiki1akiki2akiki3

akiki3

noun

 • 1

  bonde lililomomonyolewa na maji mengi ya mvua.

Origin

Kar

Pronunciation

akiki

/akiki/