Ufafanuzi wa akilili katika Kiswahili

akilili

nomino

  • 1

    nyota tatu zing’aazo katikati au mbele ya kichwa cha akrabu.

Asili

Kar

Matamshi

akilili

/akilili/