Ufafanuzi wa akisami katika Kiswahili

akisami

nominoPlural akisami

  • 1

    sehemu ya kitu.

  • 2

    tarakimu isiyo kamili k.v. nusu (½), theluthi (⅓), robo (¼) au sudusi (⅙), n.k..

    kipande, sehemu

Asili

Kar

Matamshi

akisami

/akisami/