Ufafanuzi msingi wa akisi katika Kiswahili

: akisi1akisi2

akisi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    rudisha nyuma mionzi au mwanga.

    ‘Kioo huakisi mwanga unaoanguka juu yake’

Asili

Kar

Matamshi

akisi

/akisi/

Ufafanuzi msingi wa akisi katika Kiswahili

: akisi1akisi2

akisi2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    ashiria jambo fulani.

    ‘Ukimya wake unaakisi jambo zito lililompata’

Asili

Kar

Matamshi

akisi

/akisi/