Ufafanuzi wa akua katika Kiswahili

akua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    rukia ghafla.

    vamia

  • 2

    shambulia mtu kwa maneno makali.

Matamshi

akua

/akuwa/