Ufafanuzi wa alaa! katika Kiswahili

alaa!

kiingizi

  • 1

    neno linaloonyesha kuelewa jambo.

    kumbe!

Matamshi

alaa!

/ala:/