Ufafanuzi msingi wa alamu katika Kiswahili

: alamu1alamu2

alamu1

nominoPlural alamu

  • 1

    sauti au ishara ya kuonyesha onyo au hatari.

Asili

Kng

Matamshi

alamu

/alamu/

Ufafanuzi msingi wa alamu katika Kiswahili

: alamu1alamu2

alamu2

nominoPlural alamu

  • 1

    chombo kinachotoa sauti ya tahadhari.

Asili

Kng

Matamshi

alamu

/alamu/