Ufafanuzi wa aleluya! katika Kiswahili

aleluya!, haleluya!

kiingizi

Kidini
  • 1

    Kidini
    neno la kuonyesha shangwe au furaha.

    ‘Aleluya Kristo amefufuka!’

Asili

Kbr

Matamshi

aleluya!

/alɛluja/