Ufafanuzi wa alfafa katika Kiswahili

alfafa, alfaafa

nomino

  • 1

    kipande cha pamba afungwacho mwanamume baada ya kutahiriwa ili asijitoneshe.

    kizingatine, kata

Asili

Kar