Ufafanuzi wa alfajiri kuu/ alfajiri mbichi katika Kiswahili

alfajiri kuu/ alfajiri mbichi

msemo

  • 1

    kati ya saa kumi na saa kumi na moja asubuhi.