Ufafanuzi wa Alhaji katika Kiswahili

Alhaji, Haji

nominoPlural mahaji

Kidini
  • 1

    Kidini
    cheo cha heshima apewacho Mwislamu aliyekwenda Makka kufanya ibada ya kuhiji, na hutajwa kabla ya jina la mtu huyo.

    ‘Alhaji Saidi’

Asili

Kar

Matamshi

Alhaji

/alhaʄi/