Ufafanuzi wa Alhamisi katika Kiswahili

Alhamisi

nominoPlural Alhamisi

  • 1

    siku ya sita ya juma kuanzia Jumamosi.

Asili

Kar

Matamshi

Alhamisi

/alhamisi/