Ufafanuzi msingi wa alhasili katika Kiswahili

: alhasili1alhasili2

alhasili1

kiunganishi

 • 1

  hutumika katika mazungumzo kuonyesha jumla ya vitu au mambo mengi kwa pamoja.

  ‘Shambani siku hizi kuna maembe, mapapai, machungwa’
  ‘Alhasili starehe moja kwa moja’

Asili

Kar

Matamshi

alhasili

/alha:sili/

Ufafanuzi msingi wa alhasili katika Kiswahili

: alhasili1alhasili2

alhasili2

kiunganishi

 • 1

  kama vile.

 • 2

  kwa muhtasari; kwa maneno machache.

  ‘Alhasili msafara ukasonga mbele’

Asili

Kar

Matamshi

alhasili

/alha:sili/