Ufafanuzi msingi wa alika katika Kiswahili

: alika1alika2alika3alika4

alika1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~ana, ~wa

 • 1

  toa sauti ya kishindo k.v. mfyatuko wa risasi au mpasuko wa kitu.

Matamshi

alika

/alika/

Ufafanuzi msingi wa alika katika Kiswahili

: alika1alika2alika3alika4

alika2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~ana, ~wa

 • 1

  ita watu waje kwenye sherehe.

  karibisha

 • 2

  tangaza

Matamshi

alika

/alika/

Ufafanuzi msingi wa alika katika Kiswahili

: alika1alika2alika3alika4

alika3 , alisa

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~ana, ~wa

 • 1

  weka mgonjwa, mwari, n.k. ndani mahali kwa sababu maalumu.

  tawisha

Matamshi

alika

/alika/

Ufafanuzi msingi wa alika katika Kiswahili

: alika1alika2alika3alika4

alika4 , arika

nominoPlural alika

 • 1

  mwanamke au mwanamume ambaye amepata mafunzo jandoni au unyagoni.

Matamshi

alika

/alika/