Ufafanuzi wa alika mwari katika Kiswahili

alika mwari

msemo

  • 1

    weka mwanamwari ndani kwa muda wa siku kadhaa kabla ya kuolewa.