Ufafanuzi wa alkemia katika Kiswahili

alkemia

nominoPlural alkemia

  • 1

    kemia ya karne za kati iliyokusudia kugeuza metali ya kawaida kuwa dhahabu.

Asili

Kng

Matamshi

alkemia

/alkɛmija/