Ufafanuzi wa alkoholi katika Kiswahili

alkoholi

nominoPlural alkoholi

  • 1

    kiowevu angavu kinacholewesha kinachopatikana kwenye vinywaji k.v. bia, mvinyo, spiriti au vinywaji vikali k.v. wiski, brandi, gongo, chang’aa, n.k..

    kileo, pombe

  • 2

    dawa inayotokana na sukari na vitu vyenye sukari vinapochacha.

Asili

Kng

Matamshi

alkoholi

/alkɔhɔli/