Ufafanuzi wa almaria katika Kiswahili

almaria

nominoPlural almaria

  • 1

    pambo la mshono ambalo, agh. hutiwa kwenye pindo la nguo.

Asili

Kre

Matamshi

almaria

/almarija/