Ufafanuzi wa almasi katika Kiswahili

almasi

nominoPlural almasi

  • 1

    madini magumu ya thamani sana, agh. hutumika kukatia vioo.

  • 2

    mojawapo ya vito vya thamani.

Asili

Kar

Matamshi

almasi

/almasi/