Ufafanuzi wa alofoni katika Kiswahili

alofoni

nominoPlural alofoni

  • 1

    Sarufi
    umbo jingine la fonimu ileile.

  • 2

    kibadala cha fonimu kinachotokea kutokana na mazingira ya kiisimu bila kubadilisha maana.

    ‘[r] na [d] ni alofoni za [r] katika ‘mtoto mrefu’ na ‘kamba ndefu’’

Asili

Kng

Matamshi

alofoni

/alɔfɔni/