Ufafanuzi wa aloi katika Kiswahili

aloi

nomino

  • 1

    madini ya metali yanayotokana na kuchanganya aina mbili au zaidi za metali.

Asili

Kng

Matamshi

aloi

/alɔji/