Ufafanuzi wa altaneta katika Kiswahili

altaneta, oltoneta

nomino

  • 1

    jenereta inayozalisha na kugeuza mkondo wa umeme.

Asili

Kng

Matamshi

altaneta

/altanɛta/