Ufafanuzi wa altimeta katika Kiswahili

altimeta

nominoPlural altimeta

  • 1

    kifaa cha kupimia kimo kutoka usawa wa bahari.

Asili

Kng

Matamshi

altimeta

/altimɛta/