Ufafanuzi wa alwatani katika Kiswahili

alwatani

nomino

  • 1

    mtu maarufu au mwenyeji wa mahali fulani.

Asili

Kar

Matamshi

alwatani

/alwatani/