Ufafanuzi wa amania katika Kiswahili

amania

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa na matarajio ya kupata kitu.

    tazamia, taraji, tarajia, tegemea, tumai, rajua

Asili

Kar

Matamshi

amania

/amanija/