Ufafanuzi wa ambari katika Kiswahili

ambari

nominoPlural ambari

  • 1

    kitu kama vile nta ngumu, kinachonukia, chenye rangi ya hudhurungi, kinachotokana na nyangumi baharini.

  • 2

    huliwa ili kunenepesha na kuongeza nguvu.

Asili

Kar

Matamshi

ambari

/ambari/