Ufafanuzi wa ambata katika Kiswahili

ambata

kitenzi elekezi

  • 1

    shikanisha kitu na kitu kingine.

    ama, gandama

Matamshi

ambata

/ambata/