Ufafanuzi wa ambia katika Kiswahili

ambia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~wa, ~za

  • 1

    elezea mtu habari.

Matamshi

ambia

/ambija/