Ufafanuzi wa ambisha katika Kiswahili

ambisha, ambisa

kitenzi elekezi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    weka mashua pamoja, hasa kubwa na ndogo.

Matamshi

ambisha

/ambiāˆ«a/