Ufafanuzi wa ambizana katika Kiswahili

ambizana

kitenzi elekezi

  • 1

    peana habari, hususan kwa mdomo.

Matamshi

ambizana

/ambizana/