Ufafanuzi msingi wa ambo katika Kiswahili

: ambo1ambo2

ambo1

nominoPlural mambo

 • 1

  kitu kama gundi kinachonata.

  gluu, sherisi, gamu

Matamshi

ambo

/ambɔ/

Ufafanuzi msingi wa ambo katika Kiswahili

: ambo1ambo2

ambo2

nominoPlural mambo

 • 1

  ugonjwa ueneao.

 • 2

  kitu kinachoeneza ugonjwa.

Matamshi

ambo

/ambɔ/