Ufafanuzi msingi wa ambua katika Kiswahili

: ambua1ambua2

ambua1

kitenzi elekezi

 • 1

  tenganisha vitu vilivyoshikamana.

  ‘Ambua gome’
  ‘Ambua chungwa’
  kemba, changua, bandua, bambua

 • 2

  pata faida.

  ‘Amesoma miaka mingi lakini hakuambua kitu’
  fanidi, fanikiwa

 • 3

  babua, chunua

Matamshi

ambua

/ambuwa/

Ufafanuzi msingi wa ambua katika Kiswahili

: ambua1ambua2

ambua2

kitenzi elekezi

 • 1

  ‘Walikwenda wakiziambua nyayo’
  nyanyua
  and → inua

Matamshi

ambua

/ambuwa/