Ufafanuzi wa Amekaa katika kivuli cha mumewe katika Kiswahili

Amekaa katika kivuli cha mumewe

msemo

  • 1

    amekaa na watoto bila ya kuolewa tena baada ya mume wake kufa.