Ufafanuzi wa Amekula chumvi nyingi katika Kiswahili

Amekula chumvi nyingi

msemo

  • 1

    ameishi miaka mingi; amepata umri mkubwa.