Ufafanuzi wa Amemsakama kama kibanzi cha ukuni katika Kiswahili

Amemsakama kama kibanzi cha ukuni

msemo

  • 1

    hamwachii, amemshikilia.