Ufafanuzi wa Amepachika kisu kiunoni katika Kiswahili

Amepachika kisu kiunoni

  • 1

    ameweka kisu baina ya nguo na mwili wake au baina ya nguo na kitu k.v. mkanda.